Genesis 21:32-34

32 aBaada ya mapatano kufanyika huko Beer-Sheba, Abimeleki na Fikoli mkuu wa majeshi yake wakarudi katika nchi ya Wafilisti. 33 bAbrahamu akapanda mti wa mkwaju huko Beer-Sheba, na hapo akaliitia jina la Bwana, Mungu wa milele. 34 cNaye Abrahamu akakaa katika nchi ya Wafilisti kwa muda mrefu.

Copyright information for SwhNEN